Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tumekua....hatuchoshani sana sasa 🙂🙂
20201229_112331.jpg
 
Hizo kazi za jikoni unanitesea mwanangu, muache akacheze game
😀😀 anakata zake mwenyewe za kula. Very weird kid....anapenda sana 🍅🍅🙂

Alafu anapenda kazi ila za jikoni namkatalia bana. Mpaka awe mkubwa mkubwa. Leo asubuhi kaamkia kuosha viatu so nautumia utayari wake wa kufanya kazi vizuri 🙂🙈
20201229_122615.jpg

📸 by him....
 
[emoji3][emoji3] anakata zake mwenyewe za kula. Very weird kid....anapenda sana [emoji534][emoji534][emoji846]

Alafu anapenda kazi ila za jikoni namkatalia bana. Mpaka awe mkubwa mkubwa. Leo asubuhi kaamkia kuosha viatu so nautumia utayari wake wa kufanya kazi vizuri [emoji846][emoji85]
View attachment 1662131
[emoji991] by him....
Ohhh ni mtoto mzuri sana, imekaa vyema
 
Back
Top Bottom