Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
Hmn mkuu angalia angalia utapata tuJaman ndo nimekosa msukuma??
Oohh basi sawa BhageshiGharama huwa nazimudu maana hamna namna
Kupika sujui ila natafuta mtu wa kunifundisha kupika
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]This means a lot to me nkamu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi kumbe unao wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule mchumba wangu wa huu uzi eeh?
Hee[emoji134][emoji134]Hivi kumbe unao wawili
Mwee nilisahau
Upo mwanza ndiyo ila umesafiri[emoji1][emoji1]Nipo mwanza mkuu ila nimesafiri[emoji23]
Bhageshi ng'wagalokaOohh basi sawa Bhageshi
Pole sana[emoji23]Sijaona mie jomoneeh lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Mi najua tumefichana kumbe mwenzangu unazurura[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
kwann mtu huwa anatumiwa ujumbe kama huuMoja ya ujumbe wa kikatili sana katika huu uzi ni huu.. Bahati mbaya iwe ni picha mrembo mmoja katupia..View attachment 1662270
Nimekuona muda jirani nilikua nakulia timingKwahiyo jirani saa hii ndo unaniona sio.[emoji16][emoji16]
Sijambo sijui wewe
AisehhhhNaunga mkono hoja na ukitaka ugombane na bibie mguse MTU cha wenyewe
Nb:Ni utani
My love what is happening in here, nani anataka kuniibia