financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,512
Tena Amen kubwaaa😛
Tena Amen kubwaaa😛
duuhSiku nikiogelea basi itakuwa si kwa hiari yangu (itokee nimepata ajali majini)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh
wap tena mkuuRaod trip .....tayare kwa safari View attachment 1663273
[emoji1][emoji1]Akhsante sana Mgirikipanther kwa kukazia
Habari ya uzima mpendwa@T 1990 ELY
Ooh uko mwanza kumbe umekuja kula sato karibu sna....vip ujafanikiwa kupata msukuma mmoja bado?Yan mpaka sasa nipo mwanza couple Nyingi huku pia ni msukuma na mchaga nimekutana nazo...
ko ita sounds gud tu
au Mkuu T 1990 ELY unasemaje
Salama Mpendwa.Habari ya uzima mpendwa
Vizuri sana kama ni salama mpendwaSalama Mpendwa.
Ni kweli kabisa mpenziYa kweli hayo eti wanyaki wanajua kupenda na kujali?
AMEN....
Napenda ndiyooh cc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unapendaaa muone
Sijaona mie jomoneeh lolHuu mguuu ni Kama paja langu moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee m2 lolWanasimamisha ila wataanzaje kula kipochi na govi au ndio yale mambo ya zima taa nivue nguo
Wee mpare una nini lakini khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kila kitu kilichoonekana kipo supa.... Sasa sijajua visivyoonekana
Wee Ngosha nani anakutesa huyo hebu mtaje? [emoji23][emoji23][emoji23]Dah!!....Huku ni kutesana kwa kweli
Gharama huwa nazimudu maana hamna namnaSasa waweza vipi kumudu gharama za kununua milo mitatu kila siku
Au mwenzetu mfuko wako una afya kidogo
Sehem ya mwili siijui,. Likofia nimelitoa huko dukaniiHii ni sehemu gani ya mwili?
Alafu hili likofia umelitoa wapi
Na mfano mwingine halisi ni huyu anayejiita Heaven Sent uliyemtaja. Kuna wakati huwa natafuta tu baadhi ya comments zake na kuzisoma. There is something special about her (upako, wisdom, akili kubwa, ubinadamu...) na nilipogundua kuwa ni Mnyaki nilishangaa sana.
Wanyaki barikiweni sana kwa kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]