Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,080
- 16,052
Hapa ni wazi naiona telomere shortening


great picture bro
Katika ubora wako mkuu ELY.
Aiseeee!!

Kwema kabisa mkuu.Ndiyo mkuu
Vipi kwema lakini
Vizuri sana kama ni kwema kabisa shemeji yanguKwema kabisa mkuu.
Tafuta tiba mapema hayo magonjwa yako yanakuharibu akili we ngosha😁😁Aiseeee!!
Kweli nimeamini msemo wa wahenga kuwa uzuri wa nyumba ni choo na utamu wa kondoo ni mkia.
Mimi ni nani nisitoshe kusema umebarikiwa kuwa na ugonjwa/magonjwa yangu yote nyemelezi.
Dada yako(hata sina uhakika kama kweli ni dada yako) sijui wamemfungia wapi mkuu. Na sikukuu hizi mtu akiwa kimya ujuwe anakula mema ya nchi.Vizuri sana kama ni kwema kabisa shemeji yangu
Dada yangu hajambo/mzima
We jamaa utakuwa unamiguvu sana
WeeeeeeeeAisee!
Hahaha....dada yangu wa hiari(kuwa na uhakika huo)Dada yako(hata sina uhakika kama kweli ni dada yako) sijui wamemfungia wapi mkuu. Na sikukuu hizi mtu akiwa kimya ujuwe anakula mema ya nchi.
Nimeisevu kabisa ili iwe vizuri kupigia niniliu maana hukawii kufuta....Tafuta tiba mapema hayo magonjwa yako yanakuharibu akili we ngosha![]()
Mkuu kuna wanaune wanafaidi sana angalia hayo mema ya nchi.....Aisee!