Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Toa basi hilo kopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chat na picha[emoji137]View attachment 1663585
Chat na picha[emoji137]View attachment 1663585
Hahaha....wala nini?Mkuu kumbe unanionea wivu basi mwenzio walaaaaa [emoji1]
Nzuri kabisa mpendwa, kwa hiyo wivu unakukolea akichat na wanaume wengine au?
Nimeona tu nitapike maan usha waambia watu sisi ni wapenzi watazamaji tu[emoji1][emoji1][emoji1] linahbaby bhana
Kwa hiyo hapo umenitapika au penzi/pendo langu limekuingia kunako mpaka limepitiliza umeamua kutapika[emoji1]
Kuna maisha baada ya kutapika
Hahaa, haya mambo ya ajabu sana. Mtu hata sauti haijui lakini anakuwa na wivu wa kufa mtu. Kumbe huenda unaweza kutengeneza connection na mtu bila hata kumjua, is it possible?Hahaha na wivu unao kabisa?
[emoji23][emoji23]Nzuri kabisa mpendwa, kwa hiyo wivu unakukolea akichat na wanaume wengine au?
Nakutania bhana sijui me, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We si ulisema unajua kipare
Mmmmmh wee nae lolNimerudi niambie white
Hhahaha nitampa wasiwasi T 1990 ELY wanguToa basi hilo kopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaah.[emoji135]View attachment 1663362
Sina wivu mkuuHahaha....wala nini?
like serious?? ngoja nije mamieHope mmeelewa, aliye tayri kunifanya niwe wake aibuke pm muda huu[emoji120]View attachment 1663562
Aaaah nioneshe bhana cc.Pole sana[emoji23]
Ila upendo wa agape kwangu unao siyo?Sina wivu mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ukinionea ukinionea mimi wivu aiseee mbona utakonda sana we tulia tu mkuu ukiamin kwamba lina linahbaby ni wako haita kuumiza hyo maan me mwenyewe uwa nimekaa kaa kimaumivu tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
Very possible hahahaHahaa, haya mambo ya ajabu sana. Mtu hata sauti haijui lakini anakuwa na wivu wa kufa mtu. Kumbe huenda unaweza kutengeneza connection na mtu bila hata kumjua, is it possible?
Hahahahha....kwa huku bora wajue hivyo tu ila kule tukikutana ni full kubebishana tu.Nimeona tu nitapike maan usha waambia watu sisi ni wapenzi watazamaji tu
Aiseee !Hope mmeelewa, aliye tayri kunifanya niwe wake aibuke pm muda huu[emoji120]View attachment 1663562