Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,925
Movei hii tuko series ya nne, kamata [emoji897]Haya mbona yameisha wakuu kila siku tuu haya haya
Movei hii tuko series ya nne, kamata [emoji897]Haya mbona yameisha wakuu kila siku tuu haya haya
Nawaza mambo mengi sana.Wee unawaza nn lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema ugali sio ugari umetokea wapi rafikiMda wa kwenda kusaka ugari View attachment 1662696
Yameisha isha mbona kitamboo mkuu na wala mtu chake asizani ndo nitaacha kumpenda nampenda tu hvo hvo ilo ajue...ata hvo kupigwa ngumi na mumeo si ishara kwamba hakupendi mengine yanakuwaga mahaba tu[emoji23][emoji12]linahbaby mbona unakuza mambo.. Mtoto mtam machoni kama wewe hupaswi kuwa hivi bana.. We umeumia kuitwa mbuzi ila am sure maumivu uliyoyahisi siku hiyo hayafikii hata robo ya maumivu mwanamme rijali wa ki Afirika anapoitwa mtoto wa kike au kunasibishwa na chochote cha kike kike. Binafsi hata mimi ningekumind na nadhani ni kwa mwanamme yeyote humu so kwa kuwa mwamba kawa mzungu kapotezea na kaamua kusonga mbele we pia potezea. Angeweza kuriport kwa mods ukala ban flan la kikatili sana ila hakufanya so hii ione kama ishara kwamba kaachana na haya yote so jukumu lako kama mtu mzima ni kuachana nalo pia.. unavolikomalia mwisho utaonekana mshari.. Sio sifa nzuri kwa watu wenye majukumu
Mtoto mzuri kama wewe utakuta kuna siku jamaa anakununia kabisa anasusa na kula kipochi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee m2 hapana lol
Lakini si umeelewaSema ugali sio ugari umetokea wapi rafiki
Hayupo mpenziKwani nani amekuudhi nimlambe makwenzi
Ooooh! My GodHayupo mpenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mpare vipi? LolMtoto mzuri kama wewe utakuta kuna siku jamaa anakununia kabisa anasusa na kula kipochi
Mbna nakijua jua nowNawaza mambo mengi sana.
Uje nikufundishe kipare
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mpare vipi? Lol
Safi sanaMbna nakijua jua now
Venye nmemuambia apande juu na uzi ili akahakiki. Maan pics zangu zipo nyingi huko juu, na uzuri wake pic ya pouz km hili nlishaweka huko juu, wala asipate tabu.Mkuu una fukua sana taarifa, hajakuambia katumia camera gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unacheeka lol[emoji23][emoji23][emoji23]
SawaaahSafi sana
Ndiyo rafikiLakini si umeelewa
Dont prove anything to anyoneVenye nmemuambia apande juu na uzi ili akahakiki. Maan pics zangu zipo nyingi huko juu, na uzuri wake pic ya pouz km hili nlishaweka huko juu, wala asipate tabu.
Nimefurahi..yaan hii picha naingalia siimalizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unacheeka lol
Ooooh thanks brooohz, a get u. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Dont prove anything to anyone
Mwshoe upofuke macho shauri yako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi..yaan hii picha naingalia siimalizi