mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,191
Iko wapi?Chat na picha
Iko wapi?Chat na picha
We hadi kanisani unaangalia pisi kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mabadiliko yanaanza na wewe
Kwa kweli yani naona ni chui... Mtu unapiga vindoo viwili bado unajaza maji tumboni tu akili ipo pale paleHuyo chui tu[emoji28]
Mi kanisani nasoma zangu bible tu na kusikiliza mahubiriWe hadi kanisani unaangalia pisi kali
Hiyo mpendwaIko wapi?
Mmmmh, anyway ngoja nivae miwani maana siioniHiyo mpendwa
[emoji18][emoji18]Hamna shida umeniitikia vizuri na kwa upole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muulize nalala wap?Binamu, shangazi yangu analalamika hulali nyumbani, kwanini unamkosea mama yako adabu.
Tunapenda na kucare sanaa
Asije akaamia mazima akasahau kulud dom Town
Vip umeamkaje wa kumyetu???
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu unaweza ukawa padri wewe mbona umeipangilia vizuri sana sentensi yakoMungu awatangulie muishi kwa amani na upendo
Shangazi anasema urudi nyumbani... Nimeogopa kumwambia upo wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muulize nalala wap?
AmeenMungu awatangulie muishi kwa amani na upendo
Nina vimelea vya utumishi mkuu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu unaweza ukawa padri wewe mbona umeipangilia vizuri sana sentensi yako
Nakutajia sifa zake halafu wewe mjenge kwa udongoSijawahi kumuona mkeo na ili utamani ni mpaka uone
Hebu tumuone mkeo kidogo
Hii avatar yako mlikuwa mnavunja amri ya sita[emoji18][emoji18]
Basi tuwape mafundisho vijana hapa ili wapate kuingia mbinguniNina vimelea vya utumishi mkuu