Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hallo mamy
emoji113.png
am oky now, japo nilijisikia vbaya sana tu, najua nilistaili kuambia but kutukanwa mbuzi mmmh ilo neno halikunibaliki yaan lilinikera mpk kwenye firigisi kwa maan unaye muita mbuzi kuna watu wanamuona special sana yaan mhimu sana kwa maisha yao but kwa vile tuko hapa hatujuan kila mtu anakuwa anachukulia mwenzie poa ....me nimeseme nimesamehe kbsa mwaka unaisha huu kuna mawili kufa au kuishi inakuje nikifa na kinyongo na mtu itakuwa dhambi eeh
emoji4.png
so mtu chake am forgive your ila next time ata kama unataka kumtukana mtu tafuta tusi simple lisilo mkera mtu ili uonekane smart msitarabu lazima busara ziusike but ulicho kifanya wew japo ulijua umenitukan ila uliiweka wazi hruka yako mbali na kujua wewe ni mkimya usiye penda makuu kumbe sivo una vitu vyako nyuma ya pazia ila me nimekusamehe best kbsaaa kutoka moyoni

Hela pekee ndo kitu kinanipa amani mimi nakupenda m@mtu chake View attachment 1662630
linahbaby mbona unakuza mambo.. Mtoto mtam machoni kama wewe hupaswi kuwa hivi bana.. We umeumia kuitwa mbuzi ila am sure maumivu uliyoyahisi siku hiyo hayafikii hata robo ya maumivu mwanamme rijali wa ki Afirika anapoitwa mtoto wa kike au kunasibishwa na chochote cha kike kike. Binafsi hata mimi ningekumind na nadhani ni kwa mwanamme yeyote humu so kwa kuwa mwamba kawa mzungu kapotezea na kaamua kusonga mbele we pia potezea. Angeweza kuriport kwa mods ukala ban flan la kikatili sana ila hakufanya so hii ione kama ishara kwamba kaachana na haya yote so jukumu lako kama mtu mzima ni kuachana nalo pia.. unavolikomalia mwisho utaonekana mshari.. Sio sifa nzuri kwa watu wenye majukumu
 
👌👌👌🥂🥂
 
Back
Top Bottom