Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Homie hapo sio bhana
Najua wewe unaisema ile nyingine.Duuuh... sawaa aseee nikajua ni mgeni umemix mafile...
Homie hapo sio bhana
Najua wewe unaisema ile nyingine.Duuuh... sawaa aseee nikajua ni mgeni umemix mafile...
Ni katuni mkuu.Macho yangu ni kama kioo hayajawai danganya nimezoom namba 8 murua kabisa
sema kama hutojali viwanja vyako vya kujilusha ni vip?? kwa hapo DomTown
Aah nimekusoma now.. ko unapenda ipi sana hiyo au ya kule karibu na one wayNajua wewe unaisema ile nyingine.
Nitaaminije kama ni katuni??Ni katuni mkuu.
Mimi burudani zangu ni kuzunguka hizo round about km unavyoona hapo kwenye picha.
Hii inanikosha zaidiAah nimekusoma now.. ko unapenda ipi sana hiyo au ya kule karibu na one way
Huoni km ni mdoli huo bossNitaaminije kama ni katuni??
Aah itabid na me nianze kumtembelea hizo sehemu kumbe kuna wachumba wakali hivi??
itabidi na kwangu nipafanye hivyo ili nikupate😆Hii inanikosha zaidi
Hasa nikiona hilo Bomba linavyotitirisha maji yaani kijani kimesambaa panavutia
Karibu sana mkuu japo nishatoka hukoitabidi na kwangu nipafanye hivyo ili nikupate
Juc kidding but sure nikilud tutameet hapo![]()
me ni mtumiaji mzuri sana wa karanga... Ukienda kupiga dili hilo nistueHuoni km ni mdoli huo boss
Hizo sehemu tunazunguka wauza karanga.
dah umekimbilia wap tena😔Karibu sana mkuu japo nishatoka huko
Sawa bossme ni mtumiaji mzuri sana wa karanga... Ukienda kupiga dili hilo nistue
Mbeya kujumua mzigo wa karangadah umekimbilia wap tena![]()
😋 Nakungojea MkuuSawa boss
Mungu akijaalia narudi kuuza karangaNakungojea Mkuu
Daah hii ya leo kali🤣 asa mbona unapita mwangu mule mule...Mbeya kujumua mzigo wa karanga
Aaah uje na mchele wa mbeya Nimekumbuka ubwabwa wa kwetuMungu akijaalia narudi kuuza karanga
Hela yako tu bossAaah uje na mchele wa mbeya Nimekumbuka ubwabwa wa kwetu
Oh vizuri sanaDaah hii ya leo kaliasa mbona unapita mwangu mule mule...
Tutayajenga PmHela yako tu boss
Niagize
Nikitaka kuja nitakuambia hapahapaTutayajenga Pm