Merry Christmas mchumba[emoji177]
Kuna watu wanafaidi
Unakoelekea utaunguza nyumba waya zote hizo
Shikamoo mkuuHaya wee!
Na kwako pia baba paroko wangu [emoji847]Watumishi wa selfika nawatakia mapumziko mema na heri ya kusherekea sikukuu ya x mass kwenu wote
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji177]
Na we ukiwepo baba wa mtoto mzuri [emoji847]Kuna watu wanafaidi
Marahaba cheupe!Shikamoo mkuu
Nipo dada wangu [emoji8][emoji8][emoji8] siku ukija dar tutafutane tunywe pamojaMdogo wang upo jaman ,unanitamanisha hako ka kinywaj
Jamani mzungu wa kigoma basi ngoja nileftMakusudi haya shunie
Wakubwa wanafaidi