Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah...ni siku nyingine tena iliyonjema na kupendeza ndugu Wakae pamoja kwa upendo na Amani..[emoji320][emoji320][emoji1635][emoji3344][emoji319]

Sijioni kwenye kuandaa mapocho poncho kipenzi ila nikipata kampani ya kula Jiko litanihusu kwa [emoji817] kipenzi.

Karibu sana kipenzi
Ooh ahsante ,kampani ya kula ,km vile ya Mimi kuja kudoea kdg
 
Mamajusi walipoiona nyota wakafurahi[emoji93][emoji294]
Merry Christmas wapendwa.
Tukazaliwe upya katika mambo yetu yote.
IMG-20201225-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom