donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Through back times.....
Siku hizi mnapiga modal sio bwangaEnzi hizo View attachment 1658562
Siku hizi mnapiga modal sio bwanga
Daaaa wee jamaa kweli gunia za mkaaa kweli kabisa umenivunja mbavu kweli mmetuchoka aisee daaa tunapewa stachi unaifahamu?Eti hvi ni kweli hua kuna coz maalumu mnafundishwa ya kunyosha nguo??[emoji3] Na mkihitimu mafunzo mnapewa Pasi na gunia za mkaa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka kindezi
Binamuuu hvi wewe umejuaje napenda utani[emoji848]
Hiyo tarehe katikati ni hatari sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeweka code hapo mwenyeweeeeeHyo inabidi lifanyike kuanzia trh 14-20 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji4]Maeneo yako ya kubukua haya. Hongera San cc
Sijambo mambo, Mery ChristmasItabidi ninene kwa lugha kuhusiana na hivi vinukta vyako[emoji38][emoji38]
Hujambo kipenzi Changu
Bata sioLong Island [emoji177]View attachment 1658548
Poa...asante baba.merry Christmas na kwako pia rafiki yangu 😘😘😘Sijambo mambo, Mery Christmas
Umeamkaje kipenzi[emoji28][emoji28]
Naona ushaamka Rafiki, kuandaa mapocho pochoPoa...asante baba.merry Christmas na kwako pia rafiki yangu [emoji8][emoji8][emoji8]
Nimeamka salama kabisa kipenzi changu..sijui weweUmeamkaje kipenzi
Mie nipo sijui na sikumbuki km nimelala LeoNimeamka salama kabisa kipenzi changu..sijui wewe
Yeah...ni siku nyingine tena iliyonjema na kupendeza ndugu Wakae pamoja kwa upendo na Amani..🎁🎁🥂🧚♀️🎄Naona ushaamka Rafiki, kuandaa mapocho pocho