Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Sijambo shikamoo blazaChako mama haujambo..?
Sijambo shikamoo blazaChako mama haujambo..?
Weka yako kwanzaNyie wekeni picha za sikukuu
Ha ha! Marahaba.. vipi x Max wapi..?Sijambo shikamoo blaza
Fungua mlango..Weka yako kwanza
Ndo nini 👆hapo blaza😅😅sijaelewa ujueHa ha! Marahaba.. vipi x Max wapi..?
Uko wazi blaza ingia tuFungua mlango..
Christmas unailia wapi..?Ndo nini 👆hapo blaza😅😅sijaelewa ujue
Nafikiri nitailia mdomoni blaza.na yakoChristmas unailia wapi..?
Dada wewe kiboko..😂Nafikiri nitailia mdomoni blaza.na yako
Kidding,,,,
Haupo..😅Uko wazi blaza ingia tu
Mpaka sasa sijui xmass nitakwenda wapi sina kampani blaza.Christmas unailia wapi..?
Lugha ya mchanganyiko wa mshtuko, raha, mfadhaiko nk. Yaani kwa lugha ya kizaramo "vagaranti"Lugha gani umetumia hapo Chief..sijaelewa ujue
Dada unae blaza😆😆Dada wewe kiboko..😂
Na ulivyo utazimia kweli..🤣Mpaka sasa sijui xmass nitakwenda wapi sina kampani blaza.
Nafikiri nijileweshe pombe nyumbani mpka nizime
Dada uliechangamka..😂Dada unae blaza😆😆
Haki nitazima kweli ni sipo kuwa makini..Na ulivyo utazimia kweli..🤣
Blaza maisha ndo haya haya aiseh..JF ndo sehemu naweza kuchangamka na kufurahi na kutoa stress 😅😅Dada uliechangamka..😂
Ulivyo unaweza kunywa ukaenda kulala miguu ukaeka kitandani kichwa ukaweka chini..😂Haki nitazima kweli ni sipo kuwa makini..
Maana pombe za peke yako zinalewesha haraka mnoooo
😅😅😅wacha bhana...safiLugha ya mchanganyiko wa mshtuko, raha, mfadhaiko nk. Yaani kwa lugha ya kizaramo "vagaranti"
Mbona umesahau sasa kulala na viatu 😅😅yani kama ulijua vile blaza.Ulivyo unaweza kunywa ukaenda kulala miguu ukaeka kitandani kichwa ukaweka chini..😂