KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,510
- 88,970
Siku ujikute kwa jirani hapo ndo utaelewa pombe si juisi kola..Mbona umesahau sasa kulala na viatu 😅😅yani kama ulijua vile blaza.
Cha msingi nilewe ndani kwangu nizime nistuke asubuhi basi😆😆