Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa wale wengine wajue haya bidada atachambwa mpaka ukucha wa mwisho
Acha tu Best.. ndiyo nilikuwa nawaza hapa.. Ile kamati kuu ikiyajua haya kuna mtu ataachwa kweli? Ubaya sasa kile kikosi kinaingiliaga ugomvi halafu ukiisha ndiyo wanauliza shida ilianzia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseh pole mama.

Ukiwa mpenzi mtazamaji unagundua mengi mno aiseh
 
Acha tu Best.. ndiyo nilikuwa nawaza hapa.. Ile kamati kuu ikiyajua haya kuna mtu ataachwa kweli? Ubaya sasa kile kikosi kinaingiliaga ugomvi halafu ukiisha ndiyo wanauliza shida ilianzia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Eti shida ilianzia wapi ..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ila Mimi case yangu sidhani kama inahusiana na hiyo [emoji1787]
Yule aliyeninunia atakuwa na matatizo yake binafsi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule naye inawezekana kashapata info za huyu tunayemuongelea akajihisi pengine na zake zitakuwa zimemfikia maana siyo bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ