Sissy acha mambo yako basi aiseUnamjua vizuri ingawa humjui ndiye yeye..ila unacheka nae sana jukwaani...be careful
Kweli tena..kuwa tu muangalifu mpendwa wanguSissy acha mambo yako basi aise
Hahaha hakyanani nimecheka, imebidi nimwangalie yule dota wangu mwingine. Basi ana kazi sio kidogo manake hadi chogo dah!![]()




Happy birthday Heaven sent...Mungu wetu azidi kukupigania na ukawe baraka kwa wengine...enjoy your day mrembo![]()
Wacha bwanaYeah ni mimi.
Yani acha tu dearKazingua sana.
Ila labda ndiyo kibarua chake humu..mwenzetu yupo kaziniYani acha tu dear
Asante sisKweli tena..kuwa tu muangalifu mpendwa wangu
Karibu mdogo wangu.Asante sis
Ndo nini sasa umefunga pm sisy..kiranga chote kimeniisha.basi nipm weweKaribu mdogo wangu.
Basta anakutia upepo mama mchungajiMweee simu yangu haifungui attachment
Ni kitu gani hicho?
Unamtia mtakatifu wa watu presha ujue..lohMaeneo ya kujiopolea hayo 😋😋😋 mambo ya mtoto St.Anne
😀😀 Uwiii ngoja nikupm kipenziNdo nini sasa umefunga pm sisy..kiranga chote kimeniisha.basi nipm wewe
Kudadeki zake analipwa nini mbona mswazi sana huyo dadaYes tena anachofanya mfano wewe unapost picha zako nusu huku anazikariri! Halafu tuseme mimi nina picha zako full ambazo nyingine ulipost huku nusu halafu nikakupost Status akiona anaunganisha dots kuwa huyu ni Chakorii maana hii picha aliwahi ipost kule kwenye kuselfika so anaiiba anafanya yake!
Wacha bwana
Umeongea kiumbea hadi nashindwa nisemejeEhee nipm tu sisy kabla roho haijaacha mwili kwa kihoro 😆😆😆😀😀 Uwiii ngoja nikupm kipenzi
Kama namjuaKudadeki zake analipwa nini mbona mswazi sana huyo dada

😀😀 Muone...sawaEhee nipm tu sisy kabla roho haijaacha mwili kwa kihoro 😆😆😆
Hebu mtaje basi na sisi wengine tumjueKama namjua![]()