T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Unapokea zawadi kwa njia ipi mpendwa?Kwa nini nisipokee zawadi mpendwa? Napokea mweeeh
Unapokea zawadi kwa njia ipi mpendwa?Kwa nini nisipokee zawadi mpendwa? Napokea mweeeh
Karma unapendaga mwanaume mcute ehhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mcute my dear! Akifuga ndevu ndiyo kidogo anaonekana kama mwanaume ila akizinyoa kama hivyo ni kama mwanamke!
Yoyote ambayo ni rahisi kwakoUnapokea zawadi kwa njia ipi mpendwa?
Teh!!...Wewe ndo useme njia ipi rahisi kwako kupokea zawadi.Yoyote ambayo ni rahisi kwako
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Heaven Sent, furahia siku yako.
Bado bado sana sis darling, endelea kuufurahia ujana!!Ahsante sana brod darling. Uhenga huu
Mwee wapi tena nimesema napenda IceKarma unapendaga mwanaume mcute ehhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeona umesifia so nikaongezea swali karmaMwee wapi tena nimesema napenda Ice
Msukuma gani mbahili hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh!!...Wewe ndo useme njia ipi rahisi kwako kupokea zawadi.
Mimi kwangu njia yoyote utakayochagua ni rahisi.
Bado bado sana sis darling, endelea kuufurahia ujana!!
Kabisa Dea ubarikiwe sana.Jomoni baby ake mpare, ahsante sana sana. Na ikawe sawasawa na maombi yako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Noma.Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
[emoji7][emoji7][emoji7]Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
Ba mkwe msalimie homeboy mwambie nampenda [emoji1787]Noma.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Ahsante sana mama Muinjili; umenifanya nikumbuke nilikwambia nitakuja tukanunue nywele amazing.Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
Punguza hiyo emoj tukuone vizuri [emoji85][emoji2098][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Salamu zimefika.Ba mkwe msalimie homeboy mwambie nampenda [emoji1787]