Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,925
Huu uchokozi sasaWe Mbona unajiwekaga emoj likuuubwa mpaka unashindwa kupumua
Huu uchokozi sasaWe Mbona unajiwekaga emoj likuuubwa mpaka unashindwa kupumua
Umeona hii??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefanana na baba angu ujue sura ya baba kabisa hivi si unajua rangi zinatustiri [emoji1787]
Hawezi acha kukuheshimu anakuogopa na kukuheshimu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kafundishwa na wa one night stand ananidanganya bure shunie mimi we endelea kumsema tu
Woyooooooooooh wenye rangi za mtume tuna slay tyuuuh.Umeona hii??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1656737
Sawa baba paroko nitumie sadaka basi [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba leo umemoka wida nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona sasa Anne rangi inatustiri jamani woiiiiiiiiUmeona hii??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1656737
Upo vizuri bibie 😍 naona sura ya kirembo kabisa japo kilainishi ni SAE 40!Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
Ba mkwe naona unavyonijazaHawezi acha kukuheshimu anakuogopa na kukuheshimu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha we mtoto!!Oohh kama ni lift ya kwenda juu itabidi sasa tuombe tu msaada kutoka kwa kina Malaika Gabriel na Michael ili watupeleke huko juu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Woyooooooooooh wenye rangi za mtume tuna slay tyuuuh.
Hizo hizo tunajenga wote baba paroko [emoji847]Weee umesahau sadaka ni zakujenga kanisa na kutulisha mapadri na paroko, ila shunie Aisehhh kuna watu nyie ni warembo ndiyo maana wengine wanababaika kuzipata picha zenu ili wafurahie uumbaji wa mwenyezi mungu [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81], sadaka ni zakujenga kanisa tulia tulia
Sina urembo wowote kaka angu usiogope kabisaUpo vizuri bibie [emoji7] naona sura ya kirembo kabisa japo kilainishi ni SAE 40!
Yani hapo ndio umezidi kunichanganya kabisa ujue. Mnde mwe zina edi! 😍😍😍Sina urembo wowote kaka angu usiogope kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UzaanzaYani hapo ndio umezidi kunichanganya kabisa ujue. Mnde mwe zina edi! [emoji7][emoji7][emoji7]
Hakuna Cha rangi Wala nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona sasa Anne rangi inatustiri jamani woiiiiiiii
Hahhahaha acha kutujaza anneHakuna Cha rangi Wala nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Anayedhani ni rangi basi naye ajichubue aone Kama mtafanana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2098]
Hivi kumbe ni kweli nilijua unatania, mtu anakuomba picha halafu bila ruhusa yako anampatia mtu mwingine picha zako mbona ni ujinga sana, maana utampa mtu picha yako kwa kumuamini halafu unakuja kuaikia mtu mwingine anayo ni ujinga sana, na ni tabia ya kipuuzi, sema jaribu kuwapa picha watu you can trust, wamaofanya hivyo ni ulimbukeni sana, hata mimi sijapenda hilo,Hizo hizo tunajenga wote baba paroko [emoji847]
Hatuna urembo wowote basi tu kuna mjinga mmoja akipata picha zetu wadada anasambaza si ujinga huo halafu mwanamke mwenzetu unasambaza unaoata faida gani au kuna mtu anakulipa