Nafurahi kukishughulisha kiuno chako aisee [emoji23][emoji23][emoji23]. Have a blessed day Kasie Matata - the jovial one !!!Asante SYB kwa kukishughulisha kiuno changu na mabega yangu.
Kajasho kamechirizika...
Nayarudia maisha yangu ya zamani sasa..usishangae kuendelea kunikosa humuNilikumiss jomoneeeeeh dea lol
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Nayarudia maisha yangu ya zamani sasa..usishangae kuendelea kunikosa humu
Msukuma gani huyu anakata tamaa mapema hivi, ataweza kweli kuendesha familia[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Bora kuwa na mwanaume asiye na pesa kuliko kuwa na mwanaume asiyejiamni[emoji38][emoji38][emoji38]
Bhagesh wako akaendelee kuchunga mburu [emoji38][emoji38][emoji38]
Hii ya kutolea mbona mnaikomalia hivi? Msitulaumu sisi muwalaumu wenye mitandao yao. Wakati mnaendeleza mazungumzo nao tafadhali msisahau na ya kutolea.
Si niliona juhudi zinaelekea kuzuri, kumbe ulikomaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Haijawahi kutokeaga hata mara moja
Mbona umeshukuru daddy...[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Simuonei kuindesha familia..labda boda bodaMsukuma gani huyu anakata tamaa mapema hivi, ataweza kweli kuendesha familia[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudia maisha ya zamani ina maana mambo yametangemaa. Naitazama hii katika muktadha wa Korona. Kama niko sahihi basi kwa hakika ni jambo jema [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Mbona umeshukuru daddy...
😅😅😅nishamwambia napenda introvert sasa yeye extrovert kwisha habari yake..Si niliona juhudi zinaelekea kuzuri, kumbe ulikomaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Usimfanyie hivyo ndugu yangu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi mpendwaHii ya kutolea mbona mnaikomalia hivi? Msitulaumu sisi muwalaumu wenye mitandao yao. Wakati mnaendeleza mazungumzo nao tafadhali msisahau na ya kutolea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa 30% yes daddy lakini si kuleKurudia maisha ya zamani ina maana mambo yametangemaa. Naitazama hii katika muktadha wa Korona. Kama niko sahihi basi kwa hakika ni jambo jema [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Rudi na Id yako ya zamani baby full stopNiliposoma comment yako ilinibidi niombe tena mods wairudishe ile I'd yangu ukweli in kwamba ningetaka ningekausha na I'd yangu hii ya Nuzulati bila wapendwa kujua kwamba nilikuwa na I'd nyingine kabla.
Unaandika barua kwangu[emoji1536]
View attachment 1651680
Binamu [emoji7]
Binamu yangu nakusalimia
We jamaa acha ukorofimakibuyu...sijui nifanyaje nisiwe naona post zako