Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekumiss zaidi zaidi shida yako ya simu umeitatua? maana kukupata hewani ni kwa nyakati tofauti tofauti, ili nikuone mara kwa mara nikukinai
Hamn binamu wangu sim yangu me imepasuka kioo na kioo ni gharama sana na mpk kuagiza saa hv natapeli tu sim za watu nao siku wakijisikia wananinyakua[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hamn binamu wangu sim yangu me imepasuka kioo na kioo ni gharama sana na mpk kuagiza saa hv natapeli tu sim za watu nao siku wakijisikia wananinyakua[emoji2][emoji2][emoji2]

Hebu tumie hile nguvu ya hoja ya baby nikuambie kitu..... Halafu weka na kashida kako hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom