Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
Fanya inifikie nilipo.
Habari yako lkni
karibu sana. thers couples for you @Chakorii
Fanya inifikie nilipo.
Habari yako lkni
Habari yako lakini
Sio safari ya watoto hii.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hapana tunaenda wote
Thank you Hazchem plate 😘😘karibu sana. thers couples for you @Chakorii
Ni nzuriHabari yako lakini
Thank you Hazchem plate [emoji8][emoji8]
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Dada jomoneeeh, mwenzio naolewa mlimani huko upareni kwa matajiri.Wacha weeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc wallah mapenzi yananipa uchizi, c unajua nimejitunza wee saiv ukubwan ndo najua kua kumbe kuna kitu ki1 adimu San, lolMdogo wangu ulikula nini ulivyokuwa wayaandika haya???maana nacheka hapa hatari
makibuyu...sijui nifanyaje nisiwe naona post zakoDada jomoneeeh, mwenzio naolewa mlimani huko upareni kwa matajiri.
Uwiiiiiiiiiiiiih na navopenda chapaaah, haaaah dodoh limemkuta mtumiaji.
Wachaaaa... hongera mdogo wangu na ikawe kheri... Dada mbeba mizigo yetu ile ya kwetu nipo..shem aandae mihela ya kukukomboa tu hapo😂😂Dada jomoneeeh, mwenzio naolewa mlimani huko upareni kwa matajiri.
Uwiiiiiiiiiiiiih na navopenda chapaaah, haaaah dodoh limemkuta mtumiaji.
Nina furaha kwa ajili yako mdogo wangu..kweli umependwa na ukapendeka.. hongereni Sana..mpendane na mvumiliane..kila la kheri 😍😍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc wallah mapenzi yananipa uchizi, c unajua nimejitunza wee saiv ukubwan ndo najua kua kumbe kuna kitu ki1 adimu San, lol
Mapenzi yamenkolea, na mpare anajua kukoleza haswaaaah,
C uni block tyuuuh khaaaah, why ujipe shda na maisha yenyewe mafupi haya lol,makibuyu...sijui nifanyaje nisiwe naona post zako
Hapo chacha, hela ya kibani (kishika uchumba) unakula wewe hapo dada mlezi, hebu panga kabisaa matumiz ya pesa hizo, maan huyu shem ako hana masikhara ktk kumchukua mkewe (cocastic).Wachaaaa... hongera mdogo wangu na ikawe kheri... Dada mbeba mizigo yetu ile ya kwetu nipo..shem aandae mihela ya kukukomboa tu hapo[emoji23][emoji23]
Haswaaah ndio nguvu ya mapenzi ya dhati na bora, na baraka zako zimepokelewa kwa mikono miwili,Nina furaha kwa ajili yako mdogo wangu..kweli umependwa na ukapendeka.. hongereni Sana..mpendane na mvumiliane..kila la kheri [emoji7][emoji7]
Mwambie hubby wako T 1990 ELY akulete home wapo kibao. Au nitampa akuletee [emoji870][emoji870]Nimemiss hii kitu
[emoji18][emoji18]Nakufa kibudu[emoji143]Ma Oasis,
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji177][emoji177][emoji177]
View attachment 1651801
Hapan dyaMmmmh...isije ikawa ni lovemate.
Habari za mida mke