linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084

Hya poaUwiiiiiih why dea.Nakufa kibudu
![]()
Present Sir




mdogo wangu k tamu kisenge...achana na uchokoC uni block tyuuuh khaaaah, why ujipe shda na maisha yenyewe mafupi haya lol,
Kasie Matata....Thank you Simba 😊
To be honest, the Kasie you see here is the same Kasie you’ll shake hands with at the roof restaurant.
Smiling and laughing all over, pinching and hi 5 za kutosha 😅 plus all the vibes 😋.
Only that, get prepared to see her dance, sing and eat.
Juzi tulijumuika mahala flani wanyamwezi, nilicheza ngoma za kinyamwezi hadi joto likapotea.
Mwanamuke boobaa, Kamnyangala Kane na Kulyala mwanamke ......kaganda kaganda. Nahisi maneno nimechapia najua kuimba tuu😜.
Wapi hii bob chapati smart supu smartSupu ya mbuzi wa kienyejiView attachment 1632083
Kasie Matata....
Ngoja nikuongezee na wimbo mwingine wa harusi za Wanyamwezi na Wasukuma. Si ajabu na huu ulipigwa pia. Serebuka salama huko uliko....
Kwani unawivuHahahaha, we acha tu ,uzuri nimeona umeitwa na ..
Nimemuona nitamkanya😆😆@Chakorii njoo umuone kaka akumaneno ata hayamtoki ni nukta tu
![]()
Mdogo mdogo naona😅😅safi kijana unaiwakilisha nchi ipasavyoSawa kaa tayari muda wowote inaingia pamoja na ya kutolea.
Vipi kwema lakini mke
Haijawahi kutokeaga hata mara moja
...Mdogo mdogo naonasafi kijana unaiwakilisha nchi ipasavyo
Pande nne za dunia
Bora kuwa na mwanaume asiye na pesa kuliko kuwa na mwanaume asiyejiamni😆😆😆