Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mwee jamani Dad usinisahau na mieShem tuma namba yako, zawadi tu nitakopa ili upate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee jamani Dad usinisahau na mieShem tuma namba yako, zawadi tu nitakopa ili upate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Hilo sasa ni jukumu la kila mtazamaji, kila mwenye macho ataona na kutambua. Ukiona huoni basi kuwa mpole tuu aahhahhhahahhhaaaa.
Kwa nn unacheka sasaHahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana mume hyo ni classmate wangu tu tunatanianagaMmmmmh...two in one?
Nimemiss hii kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me kila saa nakodolea simu labda nitaona ka m pesa lakn wap[emoji2][emoji2]Niliona bora nikate tamaa tu ila nimeangukia mikono salama kabisa kwa linahbaby mtoto mzuri sana ana sifa na ugonjwa/magonjwa yangu yote nyemelezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me kila saa nakodolea simu labda nitaona ka m pesa lakn wap[emoji2][emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ananisema mimi hapo... Usiache SHEM.. Tena sasa hivi iandikwe kwa herufi kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nadhani hii inafanya nizidi kukuita SHEM!
..wewe ni binti kipenzi, huhitaji kuniomba, unapewa tu!Mwee jamani Dad usinisahau na mie
Husband ananimada haki[emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani wewee
Wacha weeehZaman ndo nlkua mcharuko ila saiv, kwa mpare huyu ananipa kityuuh roho inapenda, mmmmh nimekua mpolee, msikivu, c unajua me mke wa mtu saiv.
Afu mniheshimu humu ndan, me ni mke halali wa mpare huyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuonea wivu wewe SHEM? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha...Karibu Shem wangu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nadhani hii inafanya nizidi kukuita SHEM!
Mdogo wangu ulikula nini ulivyokuwa wayaandika haya???maana nacheka hapa hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina maan humu ndan wa2 wote mna nongwa kuhus me kuwa mke wa m2?
Jomoneeeh huyo mpare kwangu amefika, amezama, amekufa, ameoza, uwiiiiiiii chezea mie toto la kingoni,
Afu ukute n mwanao sasa, nshakua ndugu na nyiee huko Chuga.
Hallow mbna pambeeeeh
Hebu nifundishe kilugha kwan, ili niwe namnenea kwa lugha, kunako 6 ×6.
Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ananisema mimi hapo... Usiache SHEM.. Tena sasa hivi iandikwe kwa herufi kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app