Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kabisa yaaniHahaha....
Eti Eeeeeh!!
Hizi kilo 62 zinanitosha kabisa mpendwa
Kabisa yaaniHahaha....
Eti Eeeeeh!!
Hizi kilo 62 zinanitosha kabisa mpendwa
Natumia vyote ..nitashushia na juice wakati nasubiri chai
ichemke![]()






Sikupingi mkuu
Hahaha.... Karma bhanaMh mh sasa hapa unabananga mambo!
Nimekuona kama ulivyo tena?
Sasa huyo ndo Mimi
Umenikumbusha aina hiyo ya wageni. Akisikia tu kuku kalia utamsikia "Mi silagi wa kuchemsha".






Siwezi kukutenga weweSikuizi unanitenga
Me mbon NipoOhhhhhhh noooo this is so sweet thanks my dear, nimezipata salamu zake, nawapenda sana, linahbaby nawe ulipotelea wapi welcome back dear,
Uzi gan huo nikaone me mvivu kuperuziMwambie Tansyasinifanyie hivi, kwanini amepotea bila kuaga, jana nimewa tag wewe na Tansy kwenye uzi fulani hivi jana tu nimewakumbuka, halafu nyie kwanini mmefichana lini tunakutana sasa, hata sijui niwafanyaje mnajificha sana
![]()
Asante.Vizuri sana kama ni salama kabisa Nkima
Karibu
Ndiyo BossKwani huwaga Kuna mbuzi wa kizungu boss ? ?
EspyAsante.