Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Katakutosha sasa?? Maana mie mwenzio ni mshotii 🤓🤓Naomba unigawie![]()
Katakutosha sasa?? Maana mie mwenzio ni mshotii 🤓🤓Naomba unigawie![]()
Duuuh likizo njema, ila muambie babu awege anakupa airtime ili wajukuu, tufaidi mahaba mujarabu ya bibi yetu.Likizo yote itaisha tukiwa Tanzania bara na visiwani.
Kwa sasa tuko bara.
Duuuh likizo njema, ila muambie babu awege anakupa airtime ili wajukuu, tufaidi mahaba mujarabu ya bibi yetu.
Nimeshakuona Kasie Matata. Looking good as always






Nimeshakuona Kasie Matata. Looking good as always![]()
Muone!Aahahahhahaaaa please keep it with yourself please don’t tell anyone out there.
Cheers![]()
![]()



Muone!
I like your infectious positive vibes Kasie Matata. Hata nikiwaga na huzuni nikigongana nawe hapa JF basi moyo waaa. Kama na kwenye uhalisia uko hivi basi it must be total fun to be around you![]()
Ningefurahi ila nilishatia vitu vyangu ndio nnaamka hapa...next time ntaomba nikutoeDinner tu Wolf...wanna join????![]()




"Figisu ndiyo kitu me sinaga, Nje mpaka ndani namkonga na swagger.
Wananiuliza kitu gani nampaga, REAL LOVE ndo nampaga mieeh". ×2
"OOOH LORD simuachi muachi muachi, Wanga hawana nafasi fasi fasi.
Wameanza kukachi kachi kachi, Nipo naye fasi ya DUASI DUASI DUASI". ×2
"Maisha zawadi furaha, Maisha zawadi kwa JAAAAH.
Kikubwa kumudu karaha, Visa visasi baraha". ×2
"Together we be
CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMP" ×2
Cos together we be
CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMP
Cos together we be
Eh Eh Eh Eh Eh Eh Eh Eh
Baby U and Me, Eh Eh Eh Eh
"Kama nisingekua macho, Nisingeweza Linda kile nilichonacho.
Drama drama nishatemana nazo, Baby hatuna tena nazo" × 2
…...........................View attachment 1650984

Kwamba picha zote zilizowekwa hujaziona?Mbn sioni selfika humu
Weka mpyaKwamba picha zote zilizowekwa hujaziona?
Mbona hata zilizowekwa ni mpyaWeka mpya
Safi sana. Maisha yenyewe haya mafupi 🙂Ningefurahi ila nilishatia vitu vyangu ndio nnaamka hapa...next time ntaomba nikutoe
Hapo sasa guddaaaah bibi, na wee utii ukiruhusiwa kutoka sio usingzie umechoka lolHakuna Matata, akishiba huwa ananiruhusu nitoke kusalimia ndugu jamaa na marafiki.