Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kuna machaguo mawili hapo ya kuangalia, hotpot na HOTPOT!
Dad kumbe na wewe unakuwaga na akili hizi eh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kuna machaguo mawili hapo ya kuangalia, hotpot na HOTPOT!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We unayofanya Mungu anapenda?
Tulia tu nitamalizana na Mungu, ila hiyo adhabu inakuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini toto[emoji36][emoji36][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji36]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mhmhh umeogea magadi nini, umenichekeshaa mno sasa mguu huo wa bia hutoi fursa watia nia ni wengi ungeitwa hivyo kila siku kila saa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji8][emoji8]sijaitwa dear siku mobu [emoji28][emoji28]leo nitalala vizuri.
Nini kilikufanya usiwepo huko jirani.
Kesho Tukijaaliwa uzima nitakuwa huko
Hahahhaa yani nioe niache kuanzisha uzi wamichangoo?? Au hamjui harusi ni project kama project zinginee
Kwahiyo jirani nimeongea utopolo😆😆😆[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mhmhh umeogea magadi nini, umenichekeshaa mno sasa mguu huo wa bia hutoi fursa watia nia ni wengi ungeitwa hivyo kila siku kila saa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bukuku[emoji7]Greatest Of All TimesView attachment 1638739
Nina historia na bomba la hivi utotoni
Liliwafanya nini?[emoji23][emoji23][emoji23]itakua nimekuelewa
Hata mimi mkuu Nina historia nalo sisahau
Hakuna[emoji23][emoji23][emoji23]Bush hamna washua?
Siwezi nikataja hapaKunaitwaje?
Ndizi ndio babkubwa mzeeUgali vs ndizi kwa kitimoto ugali ni noma zaidi
Umeanza!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dota ungepatikana vipi kama akili zangu zingefikiria shule tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dad kumbe na wewe unakuwaga na akili hizi eh
PM iko wazi.. Yo welcome Saint AnneSiwezi nikataja hapa
Ukitaka kwenda utaniambia nikutajie PM
Kwani unataka kwenda Sasa hivi huko malawi?PM iko wazi.. Yo welcome Saint Anne
Si wengine riziki miguuni, naweza kuamka kesho kutwa na ratiba ya kwenda huko..Kwani unataka kwenda Sasa hivi huko malawi?
Oh sawaSi wengine riziki miguuni, naweza kuamka kesho kutwa na ratiba ya kwenda huko..
Bush pia kuna watoto wa makatibu tarafa, ma bwana mifugo, waganga, walimu wakuu, madiwani nk.. Watoto wengi wanatokea familia kama hizi wengi ni wa kishua..Hakuna[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimezaliwa kijijini na kwa kiasi nimekulia kijijini.
What happened?[emoji23][emoji23][emoji23]itakua nimekuelewa
Hata mimi mkuu Nina historia nalo sisahau