Haha siyo kwangu mkuuShow case imejaa... umeitendea haki
Asante kwa msaada[emoji4]Huyu dada mpya nipe no yake niwe nawaleta mwenyewe watoto nyumbani, mimi ni mlinzi wa pale getini [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi umenichukulia nini?Haha siyo kwangu mkuu
Ni dukani kwa Frank Knows yule jamaa wanayesemaga anauza viatu vizuri na nguo nzuri hapa town
Hivi mtu akienda Malawi tunasema ameenda nchi za nje?
hahahhahahaHivi mtu akienda Malawi tunasema ameenda nchi za nje?
Wewe tu siku yoyote ile ukiwa tayari [emoji4][emoji4]
Niambie unataka nikakuchukulie Nini
Ndiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi mtu akienda Malawi tunasema ameenda nchi za nje?
Haina kitu mama.Wewe tu siku yoyote ile ukiwa tayari [emoji4][emoji4]
Hiyo avatar ina nini kwani jamani mama [emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39]Niambie unataka nikakuchukulie Nini
Kunaitwaje?Ndiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Kama huko nililokuwa,kufika malawi ni dk chache tu
We geraldincredible wakongwe wenye thread yao umewaacha wapi???😏😏and the winner of this Thread is MISS LIZZY Lizzy