Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Mimi mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bush pia kuna watoto wa makatibu tarafa, ma bwana mifugo, waganga, walimu wakuu, madiwani nk.. Watoto wengi wanatokea familia kama hizi wengi ni wa kishua..
Ni kweli,watoto wa hizo familia kibushbush ndio mnaonekana mko vizuri.