ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,470
- 119,119
Naona kuna machaguo mawili hapo ya kuangalia, hotpot na HOTPOT!View attachment 1638446
Wanasemaga sijui late kitu gani gani hukooo...Ehee hiyo hiyo
Naona kuna machaguo mawili hapo ya kuangalia, hotpot na HOTPOT!View attachment 1638446
Wanasemaga sijui late kitu gani gani hukooo...Ehee hiyo hiyo
We unayofanya Mungu anapenda?Hiyo sio adhabu ujuwe, hiyo ni dhulma na dhambi hata Mungu hapendi.
@Eli79 una lolote la kujitetea kabla ya kikao cha familia?Kumbeeee????
Itabidi kikao cha familia kikae.. Kione kitamfanyaje mtu huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bush hamna washua?Mimi mtoto wa bush tu,tena wa familia ya chini kabisa.
Sema shule ilikuwa imenidumaza..halafu soon naenda shamba,hayo malengelenge yatanitoka hadi yatachoka yenyewe![]()
Mie nilikuwa mpitaji tu Redpanther ....Nipe location leo na kesho nitakuwepo moro..! Sivibaya mkuu tukionana tukaonana tunagusa castle lite mbili tatu kusogeza siku
Jana sikuwa napata notification shem, huenda ndio maana sikuona hiyo quote, siwezi kukwepa maswali yako shem...kwanza nayapendaJuu kule Shem.. nilikuuliza jana..
Ukapita kama hulioni.. nikajua mmeshamalizana na Dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app



We unayofanya Mungu anapenda?
Tulia tu nitamalizana na Mungu, ila hiyo adhabu inakuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app





Mtu na dadake mkiamua hata talaka nitapewa! Sasa naanza ile wanaita divide and rule!Kumbeeee????
Itabidi kikao cha familia kikae.. Kione kitamfanyaje mtu huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha bhana 😁😁Naona kuna machaguo mawili hapo ya kuangalia, hotpot na HOTPOT!
Msikae kikao kwanza, njoo tuyamalize wawili babe!!
Nina historia na bomba la hivi utotoniWa kishua hivi vitu itakuwa hamvijui
Ukitoka hapo huna haja ya kufanya zoezi.. hizo ni push ups tosha
Mwenyeji wangu yupo vzr hatari
View attachment 1637660View attachment 1637662View attachment 1637663View attachment 1637664
Nikajaribu na Mimi![]()
Jana sikuwa napata notification shem, huenda ndio maana sikuona hiyo quote, siwezi kukwepa maswali yako shem...kwanza nayapenda![]()





Nilikuwa man alone! Niwe na nani sasa!!
Hivi ni vinini shem?
Bora mmalizane kwanza... Kabla hatujaamua jambo letu.Msikae kikao kwanza, njoo tuyamalize wawili babe!!
Usije kuwa mjumbe tu shem



Mmmmmmmh!!!! Mnasemaga sasa? Hadi mkutwe na Ushahidi.. Muanze kusingizia marafiki zenu.. na mnavyojua kusaidiana kwenye majanga kama hayaNilikuwa man alone! Niwe na nani sasa!!
