Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
U
umeokoka we jamaa
umeokoka we jamaa
Hahaha.... Chakorii bhanaU
umeokoka we jamaa

Sasa jirani mbona unanivuruga na hiyo mboga za majaniView attachment 1638446
Wanasemaga sijui late kitu gani gani hukooo...Ehee hiyo hiyo
Kumbe ameoa anataka wake wawili huyu kumbe Hazard CFC muhuniWe si umeoa wewe..hayo macho mengine unayatolea wapi Mangi
kuletee kikopo uyateme?😅😅au unasemajeAiseeeeee!!....mate yamenijaa mdomoni kama nimeona ukwaju vile.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Hajaoa bhana..😅😅😅nilikuwa namvuruga tuKumbe ameoa anataka wake wawili huyu kumbe Hazard CFC muhuni
Kwanini jirani?hapo pana mchichi,chainizi,mnavu,na figiri.bora uvurugike tu jirani hakuna namna.Sasa jirani mbona unanivuruga na hiyo mboga za majani
Nimefanyaje tena jamani Elly 😅😅Hahaha.... Chakorii bhana
Eti umeokoka we jamaa
Habari za jioni mpendwa
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Hahaha.....Ni
kuletee kikopo uyateme?au unasemaje
Umevurugwa upako wangu hapa maana nilikuwa karibu na mwokozi kwa kusikiliza nyimbo za diniNimefanyaje tena jamani Elly![]()
Yeahhh....pametengenezwa vizuri sana!!Hii ni moro ?? Daah haka kaeneo kamekaa kimbele dizaini fulani![]()
Nimekumiss pia dear, sana tu, nilikua sipo hewani siku mbili hizi, kwa hiyo nimeona tofauti mimi wow safiiiiKwanini jirani?hapo pana mchichi,chainizi,mnavu,na figiri.bora uvurugike tu jirani hakuna namna.
Halafu nimekumiss jirani yangu
Ugali vs ndizi kwa kitimoto ugali ni noma zaidi
Nipo kwa nyuma yako hapa#ChakoChako #Dodoma
View attachment 1638559
Nshakuona...🙂🙂Nipo kwa nyuma yako hapa
Hahahaha..... Espy gosi ologokaya ng'wanike

Unamabalaa wewe chizi kabisa😅😅Hahaha.....
Yaani wewe bhasi tu mkuu
Niletee niniliu niteme
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app