Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Usije kuwa mjumbe tu shem![]()




si bora mjumbe Shem..Mimi ndiye Mwenyekiti kwenye ile kamati ya maamuzi.. unaweza kuelewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije kuwa mjumbe tu shem![]()




si bora mjumbe Shem..Hivi ndio unakandamiza kwa mdogo wako eti!Mmmmmmmh!!!! Mnasemaga sasa? Hadi mkutwe na Ushahidi.. Muanze kusingizia marafiki zenu.. na mnavyojua kusaidiana kwenye majanga kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa mwenyewe, kwanza Dom kuna vumbi sana


We si umekuja Dodoma kimya kimya na kuondoka!! Mi siji.Msikae kikao kwanza, njoo tuyamalize wawili babe!!
Khaaah!Mtu na dadake mkiamua hata talaka nitapewa! Sasa naanza ile wanaita divide and rule!
Mmmmmmmmmmh!! Nitajua tu.Nilikuwa man alone! Niwe na nani sasa!!
Eti VumbiiHivi ndio unakandamiza kwa mdogo wako eti!Nilikuwa mwenyewe, kwanza Dom kuna vumbi sana
![]()








Kwa kupeana back up hawajambo hawa.Mmmmmmmh!!!! Mnasemaga sasa? Hadi mkutwe na Ushahidi.. Muanze kusingizia marafiki zenu.. na mnavyojua kusaidiana kwenye majanga kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh tehVyeupe dawa kazi wanayo
Haya mpendwa usijali nimerudi rudi now![]()
Vumbi linahusikaje sasa hapa?Hivi ndio unakandamiza kwa mdogo wako eti!Nilikuwa mwenyewe, kwanza Dom kuna vumbi sana
![]()
MarahabaaaaaWee mwanamke upo.. Nakusalimia
Si na huko ulipo kuna Vumbi?...huji ili iwe mara moja kwa mwaka. Kwa hili hata Makiseo atanihurumia na kunisaidia kuomba msamaha.
Sidhani kama itakupa shida yoyote.Asante mkuuNilidhani na wewe ushakuwa wa huku tena, anyway karibu tena Dodoma.
Si mpaka akuhurumie, maana sio kwa mambo meusi hayo unayonifanyia....huji ili iwe mara moja kwa mwaka. Kwa hili hata Makiseo atanihurumia na kunisaidia kuomba msamaha.