Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Nafunga hesabu tukutane siku nyingine[emoji871]View attachment 1625680
mmh!!!
Nafunga hesabu tukutane siku nyingine[emoji871]View attachment 1625680
Kapolepole kiasi
Sikufanikiwa kuhamisha zile picha.hiyo picha ya dr anayefanana na mimi mbna hujanitumia PM jamani
Njoo uchukue notisi za haya mambo hapa...na uzisome uzielewe. This is how it is done [emoji16][emoji16][emoji16]
Makenya ndo masagamba mkuu..Ehee hayo ninayo mengi sana.na hapo hunajayaona vizuriTuu mguu tudhuri ila tuna makenya kwa kisigino[emoji41][emoji41]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Shukrani Mkuu
ShoppersLocation? Dodoma wapi
Naona watoto wa kishua wanavyopata elimu bila kashikashiMadam anasema "Dada unampendelea mwanao tu!na mimi nipige,ngoja niweke pozi"[emoji257]View attachment 1633483View attachment 1633484
Duuuh mimi nakula ila huyo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Njoo uchukue notisi za haya mambo hapa...na uzisome uzielewe. This is how it is done [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabla
View attachment 1633471
Baada
View attachment 1633472
Mkuu unaenda wapiShukrani Mkuu
Siku Nyingine
Huku wengine tumesoma shule za kubeba vidumu,majembe na mifagio[emoji23][emoji23]Naona watoto wa kishua wanavyopata elimu bila kashikashi
Acha tu life hii, ila acha wale neema za nchi, sisi kipindi hicho tv tunaenda kuangalia kwa jiraniHuku wengine tumesoma shule za kubeba vidumu,majembe na mifagio[emoji23][emoji23]
Hakuna kitu nachukia kama kuamka na kupeleka watoto shule basi tu.Huku wengine tumesoma shule za kubeba vidumu,majembe na mifagio[emoji23][emoji23]
We acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kitu nachukia kama kuamka na kupeleka watoto shule basi tu.
Tulikuwa tunalipa sh 50 tunaenda kuangalia tv hapo mtaa mzima mwenye tv ni mmoja..ya biasharaAcha tu life hii, ila acha wale neema za nchi, sisi kipindi hicho tv tunaenda kuangalia kwa jirani
Dogo umezaliwa umekuta tv ndaniTulikuwa tunalipa sh 50 tunaenda kuangalia tv hapo mtaa mzima mwenye tv ni mmoja..ya biashara
Mimi hayo mambo yalinishinda Anne.We acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo bado kumchukua mchana[emoji23][emoji23]
Mi mwenyewe najikaza siku 2 3 hizi,huyu dada mpya akishazoea Basi Atakuwa anampeleka .Mimi hayo mambo yalinishinda Anne.