Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibuni
C360_2020-11-24-14-05-53-352.jpg
 
Nini tena kimekutokea mkuu
Nilipelekwa kwenye park mkuu na nikashawishiwa kupanda kwenye hiyo ride. Yaani mnapanda mpaka huko juu kabisa sijui ghorofa ngapi huko halafu mnarudi chini upside down almost vertical fulu fosi mpaka kuna kimuda hapo mtu unajihisi kama vile huna uzito kabisa (zero gravity). Yaani kabisa kifo unakiona laivu hiki hapa, kichwa kinakuuma, moyo unausikia kama vile unataka kuchomoka, matumbo yanakusokota ali mradi vurugu tu. Wengine mpaka wanapoteza fahamu. Aliyenishawishi kupanda mpaka sasa hatuongeleshani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli Shimba wewe ni muoga hivyo???
Eti aliyekushawishi hamuongei...🤣🤣🤣
 
Nilipelekwa kwenye park mkuu na nikashawishiwa kupanda kwenye hiyo ride. Yaani mnapanda mpaka huko juu kabisa sijui ghorofa ngapi huko halafu mnarudi chini upside down almost vertical fulu fosi mpaka kuna kimuda hapo mtu unajihisi kama vile huna uzito kabisa (zero gravity). Yaani kabisa kifo unakiona laivu hiki hapa, kichwa kinakuuma, moyo unausikia kama vile unataka kuchomoka, matumbo yanakusokota ali mradi vurugu tu. Wengine mpaka wanapoteza fahamu. Aliyenishawishi kupanda mpaka sasa hatuongeleshani [emoji16][emoji16][emoji16]

Ohhhhhhhhhhh teh teh teh teh teh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkuu pole mno
 
Sitakaa nifanye tena huu utopolo...nefaaa !!!

Na wewe uliyenidanganya mpaka nikadanganyika, ushindweee [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]. Terrible ride !
View attachment 1633772
Daah, sitakaa nisahau T express, everland south korea....kuna dada mmoja alizima, kwa kweli sikuzungumza na mtu baada ya kushuka
 
Back
Top Bottom