NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
kifurushi.
Una hela hongera.Mimi wanasomea nyumbani,shule wanazisikia tu.
Mi napenda sanaHakuna kitu nachukia kama kuamka na kupeleka watoto shule basi tu.
Home MkuuMkuu unaenda wapi
Daah sitajaribu tena, kile ni kifo cha kujitakia, bora hata hizi za chuma, zile ni za mbaoSHIMBA YA BUYENZE & The Wolf nashindwa kuamini kwamba mie nawazidi ujanja kidogoYani kweli kabisa??
![]()


Eti nina hela,wanasoma bure.Una hela hongera.
Sisi hatuna hela ya kuleta mwalimu nyumbani.
Mi ni mvivu tu.Mi napenda sana
Atakuwa hajawahi kufanya hiyo kazi kwa muda mrefuMi ni mvivu tu.
MmhEti nina hela,wanasoma bure.
Siyo hapa nyumbani ni nje ya Nchi,kisheria siyo lazima mzazi ampeleke mtoto shule,unaweza ukamfundisha taaluma zingine nyumbani, cha muhimu ajuwe kuhesabu na kusoma na kuna wakaguzi maalum wa serikali wanafuatilia kama kweli anaelimishwa.Mmh
Walimu gani hao waafundisha bure na sisi tuwatafute?
Wasalimie sana hukoHome Mkuu
Oh hapo sawaSiyo hapa nyumbani ni nje ya Nchi,kisheria siyo lazima mzazi ampeleke mtoto shule,unaweza ukamfundisha taaluma zingine nyumbani, cha muhimu ajuwe kuhesabu na kusoma na kuna wakaguzi maalum wa serikali wanafuatilia kama kweli anaelimishwa.
Huyu ni yeye sasa😍
Paka wanene ndio wakoje mkuuNyama za paka wanene
Zinaiva zinakua Kama kekiHizi nyama huwa zinaivaga kweli
Pole aise. mimi napenda sana pale ninapomhug na kupungiana nae mkono 💘💘Mi ni mvivu tu.
Nakuelewa ni kawaida lakini kuamka asubuhi ni jukumu aina cha kupenda. Kusema kweli sipendi alafu unakuta dogo hayupo kwenye mood.Pole aise. mimi napenda sana pale ninapomhug na kupungiana nae mkono 💘💘
😅😅pole aise.ndo hivyo tena hakuna namnaNakuelewa ni kawaida lakini kuamka asubuhi ni jukumu aina cha kupenda. Kusema kweli sipendi alafu unakuta dogo hayupo kwenye mood.