Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,676
- 50,994
Wewe mbona sikuoni
Wewe mbona sikuoni
Sasa hivi,kuna wadada watatu na mama mmoja wa makamu kawaambia embu tuwahi mambo ya picha baadaye.Saa ngapi mkuu
Hiyo picha siyo ya sasa hivi ni ya mida ya asubuhi kuelekea mchana
Kapolepole kiasiNi dalili kwamba ni kapole.
Duuh basi siyo mimiSasa hivi,kuna wadada watatu na mama mmoja wa makamu kawaambia embu tuwahi mambo ya picha baadaye.
Karibu hapa nipo kwa Karim Magodoro kwa makundi.Duuh basi siyo mimi
Mie nilikuwa peke yangu tu mkuu
Oohh asanteKaribu hapa nipo kwa Karim Magodoro kwa makundi.
Dah..uko vizuri ni ukanda huohuo..Huku Kama Pangani Tanga
unatalii au we mgogo,nipo kwenye bodaboda naelekea njia panda Area D.Oohh asante
Mie nipo Nyerere Square
🤣🤣🤣🤣duh
Ni kuzuri sana sema Barabara tuDah..uko vizuri ni ukanda huohuo..
Natalii tu mkuuunatalii au we mgogo,nipo kwenye bodaboda naelekea njia panda Area D.
😊😊😊Ni yeye😍
Location? Dodoma wapi