Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FIFO formula ( first in first out )
IMG_20201110_151306_374.jpg
 
I like this. Fast food mara moja moja siyo mbaya - hasa kama umekula hiyo baga na hizo fraizi ukazimaliza. 1, 000+ Calories [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kweli Shimba hunitakii mema 😬😬😬 Yote hiyo ya nini? Unataka ninone kama ng'ombe wa Christmas???🙄🙄

Nilikula nusu na fries za kutupia tupia tu basi.
 
Kweli Shimba hunitakii mema [emoji51][emoji51][emoji51] Yote hiyo ya nini? Unataka ninone kama ng'ombe wa Christmas???[emoji849][emoji849]

Nilikula nusu na fries za kutupia tupia tu basi.
Eti unone kama ng'ombe wa Krismasi [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ndo itakuwa vizuri kwa wapenda vinono?

Ulikula nusu? Na fries za kutupia tupia tu? Hooovyoooo !!!
 
Eti unone kama ng'ombe wa Krismasi [emoji16][emoji16][emoji16]. Si ndo itakuwa vizuri kwa wapenda vinono?

Ulikula nusu? Na fries za kutupia tupia tu? Hooovyoooo !!!
Shimba we ndo wale mnaosemaga "Siunenepe tu!😏" alafu baadae mnakuwa bisy kukimbizana na 'english figure' mtaani ???

Anyway, usiwe mkali hivyo bana 😔😔 ...naongezea na hizi 👇🏾👇🏾 kidogo 🙂
20201111_182947.jpg
 
Shimba we ndo wale mnaosemaga "Siunenepe tu![emoji57]" alafu baadae mnakuwa bisy kukimbizana na 'english figure' mtaani ???

Anyway, usiwe mkali hivyo bana [emoji17][emoji17] ...naongezea na hizi [emoji1484][emoji1484] kidogo [emoji846]
View attachment 1624292
Hizo Dorritos nazo si utakula tuvipande tuwili tu basi? [emoji16][emoji16][emoji16]

English figure eeeh! How English? Flaviana Matata or Beyonce English? Mwanamke lazima awe na vinyama nyama bana - hasa zile sehemu muhimu (if you know what I mean) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom