Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,786
- 182,952
Sasa wewe mbona mchoyo?Hapa yaani hata kama umetoka wapi huko we osha mikono tu kamatia ugali hakuna atakayekuuliza. Na ukikuta wanamalizia malizia unapikiwa mwingine hata kama ni mgeni hawakujui. Nilijifunza mengi katika mfumo huo wa maisha...