Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Amen[emoji120][emoji120]Pole Sana mkono wa bwana umfunike
Apone tu maana kasheshe ya kukaa hapa muda hautembei kabisa[emoji38]
Nasikilizia tu miserebuko ya Tugimbe
Amen[emoji120][emoji120]Pole Sana mkono wa bwana umfunike
Bill sinaga utaratibu wa kula usiku..kwahiyo hapo nimevunja mashartiAcha masikhara utaamka usiku unapekua jikoni njaa
Kaonekana tangu jana mbonaHeeeeeh daddie upooh? Lol
Au Leo una kipindi ( joking ) umeona ule kabisaBill sinaga utaratibu wa kula usiku..kwahiyo hapo nimevunja masharti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulimalizia pale form four ? Ulifanikiwa kufaulu vizur pale ? [emoji3][emoji3] Maana sangu o level ilikua inasifika kwa kufeli
English figure [emoji8]All eyez on meh!!!! Vile najua kujipendaga tyuuuh. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1624462
Nitafanya mpango nikuazime ❤️Wee c* hyo dp hapana lol, huo mdomo niazime mie niringie kwan. [emoji7][emoji7][emoji7]
Nikupeleke siku ukawashuhudie hao wa mataifa au unasemaje [emoji3]Amen[emoji120][emoji120]
Apone tu maana kasheshe ya kukaa hapa muda hautembei kabisa[emoji38]
Nasikilizia tu miserebuko ya Tugimbe
Hapana dogoUDom hiyooooh?
Nina kipindi wapi S Bill..Au Leo una kipindi ( joking ) umeona ule kabisa
Mie hata skumuona jomoneeeeh eti.Kaonekana tangu jana mbona
Wapi sasa?Hapana dogo
Kabisaaaah uniazime lolNitafanya mpango nikuazime [emoji3590]
Ulitisha Sana mtoto wa ndimbo kufaulu pale , maana form four unakuta iko A B C D E F[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kinachofanya ionekane vile ni uwingi wa wanafunzi.
Wanaofaulu na wanaofeli ni wengi ko failure inatawala[emoji38]
Walikuwa wananiita Mtoto wa mwabulambo yule mama wa nidhamu alikuwa ananipenda hatari.. nilikuwa mtoto mzuri sana,break time utanikuta naimba mapambio kanisani.
Sijawahi kufaulu tena kama nilivyofaulu nikiwa pale[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikupeleke siku ukawashuhudie hao wa mataifa au unasemaje [emoji3]
Mbona nilipomuona nikakutagi.hukuona?Mie hata skumuona jomoneeeeh eti.
Mbeya hiyoWapi sasa?
Oooooh kumbe lol, naona uko una slay tyuuuhMbeya hiyo
Ukumbi maarufu sana hapa jijini
Kabisaaaah uniazime lol
HahahaOooooh kumbe lol, naona uko una slay tyuuuh