Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Mekumiss hvyoo tu
Poaz Clkey!
Poaz Clkey!
ClkeyMekumiss hvyoo tu
Nimekumis wewe mremboooooMekumiss hvyoo tu
Wow! Leo nina bahati sana, umenimiss kweli?Mekumiss hvyoo tu




Ndio ndio
Mwee
Chai gani hii?The best time to have tea, is whenever you want tea. Karibuni wadauView attachment 1623461
Unachekelea eeh?
Thanks mkuu kwa ushauri, ni bora kuwa makiniBe super super careful. Nilishaua laptop karibu mbili kwa uzembe huo.
Ikitokea immediately turn it off kwa kuchomoa power cord na battery yake then flip it upside down.
Mkuu hii ilikuwa Hibiscus TeaChai gani hii?
Wow! Leo nina bahati sana, umenimiss kweli?
Sasa nimeamini Clkey, mwanzo nikadhani umenifananishaHahahhaa khaaa muone ,huamini sasa





Hupendi mboga za majani?
Napenda sana, sana, sana...sema nilizimaliza mchana.Hupendi mboga za majani?
Hapa yaani hata kama umetoka wapi huko we osha mikono tu kamatia ugali hakuna atakayekuuliza. Na ukikuta wanamalizia malizia unapikiwa mwingine hata kama ni mgeni hawakujui. Nilijifunza mengi katika mfumo huo wa maisha...
Huyo mtoto laini laini hawezi kula ugali.