Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,180
- 11,263
[emoji3][emoji3] Kama nakuona vileLast in first out(LIFO)
Nimemkumbuka madam fulani Sangu form 2 alitunyoosha Sana yule mama.
Ndio dinner au kionjo tu
😁😁😁🙈🙈Hizo Dorritos nazo si utakula tuvipande tuwili tu basi? [emoji16][emoji16][emoji16]
English figure eeeh! How English? Flaviana Matata or Beyonce English? Mwanamke lazima awe na vinyama nyama bana - hasa zile sehemu muhimu (if you know what I mean) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Pole kama unaumwa/unauguza .
Samahani kuuliza swali personal ,hizo Pete ni urembo or ( Mimi wa mkoa nitoe tongotongo )Mint crisp my fav [emoji846]
View attachment 1624444
Tumbo la huyu Dada liko bize sana hahahahh #jokesMint crisp my fav [emoji846]
View attachment 1624444
Minyoo haipumuiTumbo la huyu Dada liko bize sana hahahahh #jokes
Wee c* hyo dp hapana lol, huo mdomo niazime mie niringie kwan. [emoji7][emoji7][emoji7]
UDom hiyooooh?Tughimbe HallView attachment 1624133
Heeeeeh daddie upooh? LolHahahaha, Fanya hivyo Rafiki
NauguzaPole kama unaumwa/unauguza .
Dogolas(mwanangu[emoji16])Nani anaumwa?
Alikuwa anagonga na rula mikononi.[emoji3][emoji3] Kama nakuona vile
Pole Sana mkono wa bwana umfunikeDogolas(mwanangu[emoji16])
Ulimalizia pale form four ? Ulifanikiwa kufaulu vizur pale ? [emoji3][emoji3] Maana sangu o level ilikua inasifika kwa kufeliAlikuwa anagonga na rula mikononi.
Akija class anaanza kuuliza maswali darasa zima kiti kwa kiti asee..tena anataka uelezee kabisa maelezo aliyoandika..anaweza akapita hata raundi 5 yule mama [emoji38]
Ila alinifanya nisome sana somo lake hadi wakanipaga kacheti form 4