😆😆😆Lizzy unachuana na T 1990 ELY kwa misosi aise😅😅tofauti iliyopo ni kweli posheni tu
Lizzy[emoji38][emoji38][emoji38]
Ely ye vitu vyake ni heavyyyy [emoji1491][emoji1491][emoji1491]
Hahaha........unajikuta muhenga eti eeeeeeh [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]kwahiyo unahisi niko kwenye hiyo age ya 20s..kijana!huo umri wa hizo drama ulishapita kitambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana [emoji28]
mhenga Elly lakini sipo kwenye 20’sHahaha........unajikuta muhenga eti eeeeeeh [emoji1][emoji1]
Haya bhana
Kuanzia leo we ni shemeji yangu. Karibu sana Usukumani...[emoji15][emoji15][emoji15]mpenzi wako tena!!tangu lini huu upenzi umeanza?
Ushemu kwa Nani Shimbaaa?Kuanzia leo we ni shemeji yangu. Karibu sana Usukumani...
View attachment 1623164
MmmmmmmmmmhHapo umenena mama..na inaonekana mwili wake unamiguvu [emoji28][emoji28]loh..maana sio kwa misosi ile
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Maisha ni lazima yaende mzee baba , ka house ni kadogo lakini ni jasho lako, usijichukulie poa, sema ahsante Mungu kwa hichi kidogo, Mungu atakupa kubwa zaidi
Amen to that brotherMaisha ni lazima yaende mzee baba , ka house ni kadogo lakini ni jasho lako, usijichukulie poa, sema ahsante Mungu kwa hichi kidogo, Mungu atakupa kubwa zaidi
Kwema madameKwemaaa???!!!