Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,353
Yes Boss!
Kwema mkuuYes Boss!
Kwema mkuu
Jumatatu imeenda poa/salama kabisa mkuuKwema kabisa boss habari za j3...
Leo sijaona picha za kuku kuku...
Jumatatu imeenda poa/salama kabisa mkuu
Tayari picha za kuku kuku nimetupia kwenye mida ya chai
Teh!!..ipo kule juu mkuuSijaiona kabisa nitaitafuta nione maana unapenda kuku sana mkuu...
Heeeeeh wee sasa shida nn kwan? Introvert ndo asili angu.Wewe sasa tulia kwanza, umeiga tu ila pia kuna shida mbona mnajifanya nyie maintrovert
Kabisaaaaaah dea, unajua kunifurahisha mnooh.Hivi kuna mtu anayeweza kujilazimisha kuwa introvert au extrovert? Hizo ni inborn characters mkuu mtu hajipachiki tu!
Wee c* hapa n wapi?
Ushaingia town eeeeh?
Hapo ni mto wami love..kama umeshawahi kwenda Moshi,Arusha,Tanga....kwa kutumia bus basi unapita hapo babe..Wee c* hapa n wapi?
Eeeh mbna Tanga nshawah kwenda, ila hilo jengo sikuliona, zaid ya daraja.Hapo ni mto wami love..kama umeshawahi kwenda Moshi,Arusha,Tanga....kwa kutumia bus basi unapita hapo babe..
Nimeingia town mapema sana lovie..mzima lkni..Ushaingia town eeeeh?
Labda kama limefanyiwa ukarabati ndo mana limeonekana vizuri lakini lilikuwepo..Eeeh mbna Tanga nshawah kwenda, ila hilo jengo sikuliona, zaid ya daraja.
Daaaah na, mie nlielekea huko nyanda za juu kusini, kupiga field, now npoNimeingia town mapema sana lovie..mzima lkni..
Ulipotelea wapi ndugu yangu?
, ila next week naingia town.Ooooh kumbe bas sawaaah deaLabda kama limefanyiwa ukarabati ndo mana limeonekana vizuri lakini lilikuwepo..