Last month mdogo wangu wa kike alikua anaolewa so akaenda saloon ile amerudi kumbe kasahau pochi yake, na mazaga mengine.. Hivyo akaniomba niende kumchukulia
Kufika ndani nikakuta jamaa anamuosha mwanamke 1 hivi (ambae kwa mtazamo wa haraka ni kama mke wa mtu) wakati natafutiwa vile vitu me nikawa naona jamaa anavyomuosha.
Yule mwanamke kakunja sketi mpaka mapajani halafu jamaa anaosha kuanzia miguuni kwenye unyayo mpaka around juu ya magoti (mwanzo mapajani) halafu sio anaosha tu, anakua anaifanyia kama masaji, it's a shame kiukweli hata kama ni urembo it was too much, kwa mazingira kama yale jamaa akibananisha tu kidogo mwanamke hachomoki salama.