Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
I promise 🤝🏾🤝🏾Na ujiachie kweli mpaka kieleweke aisee. Ntafurahi![]()
I promise 🤝🏾🤝🏾Na ujiachie kweli mpaka kieleweke aisee. Ntafurahi![]()
Kweli utaniletea??Nitakuletea jpili nakuja hom Ila onyesha kwanza shamba
Utalima kweli ? Unataka kulima ekari ngapiKweli utaniletea??
Akhsante sana
Picha nilizopost siku nzima ya jana na Leo ni mashamba tu!
Bado kuna mashamba yapo mwaka huu hayalimwi.. natamani nilime ila sina mbolea.
Kukuonyesha siwezi maana yapo kijijini mimi nipo mjini.
Hauniamini?Utalima kweli ? Unataka kulima ekari ngapi




Hizi bangi dogo nilishakwambia uwe unavutia kibarazani.Hilo jiwe lingemkosa huyo nduli kipigo ambacho angekipata huyo dogo asingekaa akisahau maishani mwake![]()
Ugali sato.Matunda na menyewe si mlikuwa mnanikoromea jamani? Mnataka nini sasa? Bagosha![]()
Njoo tucheze mdako.
Huyu wanamuita Halima Mahipsi mkuu 😀Halima Mdee au Halima yupi kamanda?
Hebu acheni mambo ya ajabu jamani, mbona mambo madogo tu hayo.Last month mdogo wangu wa kike alikua anaolewa so akaenda saloon ile amerudi kumbe kasahau pochi yake, na mazaga mengine.. Hivyo akaniomba niende kumchukulia
Kufika ndani nikakuta jamaa anamuosha mwanamke 1 hivi (ambae kwa mtazamo wa haraka ni kama mke wa mtu) wakati natafutiwa vile vitu me nikawa naona jamaa anavyomuosha.
Yule mwanamke kakunja sketi mpaka mapajani halafu jamaa anaosha kuanzia miguuni kwenye unyayo mpaka around juu ya magoti (mwanzo mapajani) halafu sio anaosha tu, anakua anaifanyia kama masaji, it's a shame kiukweli hata kama ni urembo it was too much, kwa mazingira kama yale jamaa akibananisha tu kidogo mwanamke hachomoki salama.
Naona Kama mziki wa shamba utaushindwa usije telekeza shambaHauniamini?
Nalima,mchawi ni Mbolea tu.
Nigawie mbolea uone.
Mbolea itaamua ukubwa wa shamba.
Heka moja tu au 2 inatosha
Usidhani ndio itakuwa mara ya kwanza kulima shamba.Naona Kama mziki wa shamba utaushindwa usije telekeza shamba
Leo najaribu kujipikilisha ndizi. Hapa nakata kata nyanya na vitunguu halafu navimiksi vyote humo humo na maviungo mengine vitajuana vyenyewe. Makiseo na Espy leo msicheze mbali wanangu
View attachment 1619043





Basi wew Safi Sana itabidi nikupe mboleaUsidhani ndio itakuwa mara ya kwanza kulima shamba.
Kazi za shamba ninefanya sana,najua karaha zake zote.
Ukirusha picha yake hapa itapendeza sana kamandaHuyu wanamuita Halima Mahipsi mkuu![]()
BabeDouta, mfano mimi sio chichiem lakini I appreciate Magu, utanielezea vipi?



Nimeishi kijijini, kwahiyo shambani nakujua vizuri japo nina kauvivu.Basi wew Safi Sana itabidi nikupe mbolea

Wew fresh from school hela utoe wapi? Nikija na gari nitabeba huku nikipanda Basi Kuna sehemu uyole utachukuaNimeishi kijijini, kwahiyo shambani nakujua vizuri japo nina kauvivu.
Hapo kazi kubwa ninayoiona ni kupanda na palizi..
Kulima nitatumia ng'ombe.
Naisubiri hiyo mbolea,ila ni bure,sina hela ya kukulipa![]()
Umeona eeh??!?!Wew fresh from school hela utoe wapi? Nikija na gari nitabeba huku nikipanda Basi Kuna sehemu uyole utachukua

Wewe unamkubali nani?Babe![]()