Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,565
- 88,576
Ah mie nilishasema siwezi kugombana na mtu kisa vitu kama siasa au mpira! Ni ujinga wa kiwango cha sgr!Shida ni pale watu hadi wanazichapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Haki Kuna watu Wana matumizi mabovu ya nguvu zao