Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,925
Huoni mvua ni za kuchelewa sana, huoni jua limekua kaliiii sana huoni kuna viumbe hatuvioni siku hizi yote hiyo kwa kuwa mwanadamu amekua ni mharibifu namba moja wa mazingiraMisitu haijawahi kuisha
Miaka nenda miaka rudi wanapikia kuni