Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Oohh basi ni vyema kama unatoa mawazo bila kuangalia chama! Maana kuna watu wanatetea tu kila kitu ili mradi kimefanywa na ccm duuh!
Huwa natoa mtazamo wangu
Sometimes nakuwa against na CCM hadi kuna siku nimechambana na Bia yetu..naishia kuitwa kamanda uchwara.
Kuna siku nimeitukana serikali hadi kuna mtu akanifwata kunitahadharisha,aliona nanusa uanaharakati na jinsi ninavyojuana na watu humu kukamatwa dk 0 nyingi.
Sometimes nakuwa against na upinzani halafu naishia kuitwa CCM kama hivi leo,au nabatizwa ubuku 7
 
Hata sasa wakianguka huwa akili yako haikai sawa.
mwijaku_20201102_214134_0.jpg
 
Hiyo yote ni sehemu ya kufanya mahusiano yachipue sex, vitu hivyo vidogovidogo sijui masaji na vingine vingiiii , hivyo vyote tunafanya lakini mnakuja kuanguka kwenye mahaba makali na vijana wanaowaosha miguu, kucha nk
Last month mdogo wangu wa kike alikua anaolewa so akaenda saloon ile amerudi kumbe kasahau pochi yake, na mazaga mengine.. Hivyo akaniomba niende kumchukulia

Kufika ndani nikakuta jamaa anamuosha mwanamke 1 hivi (ambae kwa mtazamo wa haraka ni kama mke wa mtu) wakati natafutiwa vile vitu me nikawa naona jamaa anavyomuosha.
Yule mwanamke kakunja sketi mpaka mapajani halafu jamaa anaosha kuanzia miguuni kwenye unyayo mpaka around juu ya magoti (mwanzo mapajani) halafu sio anaosha tu, anakua anaifanyia kama masaji, it's a shame kiukweli hata kama ni urembo it was too much, kwa mazingira kama yale jamaa akibananisha tu kidogo mwanamke hachomoki salama.
 
Huwa natoa mtazamo wangu
Sometimes nakuwa against na CCM hadi kuna siku nimechambana na Bia yetu..naishia kuitwa kamanda uchwara.
Kuna siku nimeitukana serikali hadi kuna mtu akanifwata kunitahadharisha,aliona nanusa uanaharakati na jinsi ninavyojuana na watu humu kukamatwa dk 0 nyingi.
Sometimes nakuwa against na upinzani halafu naishia kuitwa CCM kama hivi leo,au nabatizwa ubuku 7
Oohh basi sawa uendelee na moyo huo huo! Usiwe kama kina mwafulani wafia chama kule jukwaa la siasa haki kule kuna watu huwaga natamani hata niwachape viboko yaani!
 
Mimi wafia chama wote siwapendi
Iwe wa upinzani au wa chama tawala.

Kuna watu huwa wanasapoti kila kitu hadi mtu kupigwa risasi wanafurahia.
Kuna watu wao ni kupinga kila kitu,wao wanabeza tu, wanasema tufanye maombi juu ya Corona wao wanatukana tu!
Mimi Ndiyo maana sitaki kuegemea kwenye chama kimoja maana kila chama kina mazuri na mabaya yake.

Hili la uchaguzi kwa imani yangu Mimi,Ubunge yawezekana kweli wamepigwa bao la mkono lakini urais hata uchaguzi ungekuwa wa haki bado wasingetoboa.
Tatizo ni pale watu wanataka uwasapoti kwenye kila kitu
 
Last month mdogo wangu wa kike alikua anaolewa so akaenda saloon ile amerudi kumbe kasahau pochi yake, na mazaga mengine.. Hivyo akaniomba niende kumchukulia

Kufika ndani nikakuta jamaa anamuosha mwanamke 1 hivi (ambae kwa mtazamo wa haraka ni kama mke wa mtu) wakati natafutiwa vile vitu me nikawa naona jamaa anavyomuosha.
Yule mwanamke kakunja sketi mpaka mapajani halafu jamaa anaosha kuanzia miguuni kwenye unyayo mpaka around juu ya magoti (mwanzo mapajani) halafu sio anaosha tu, anakua anaifanyia kama masaji, it's a shame kiukweli hata kama ni urembo it was too much, kwa mazingira kama yale jamaa akibananisha tu kidogo mwanamke hachomoki salama.
Unaona sasa mkuu, hivi vitu vipo yani mkuu mwanamke ni rahisi sana kuanguka dhambini, na wanaume sisi huwa tunajua madhaifu yao na vijana hao wakipapasa tu wanakula especially kukiwa na mazingira yanayoruhusu ndiyo basi tena, na wanaofanyiwa hivyo wengi ni wake za watu, vijana wanakula bila kuacha
 
Back
Top Bottom