Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaona sasa mkuu, hivi vitu vipo yani mkuu mwanamke ni rahisi sana kuanguka dhambini, na wanaume sisi huwa tunajua madhaifu yao na vijana hao wakipapasa tu wanakula especially kukiwa na mazingira yanayoruhusu ndiyo basi tena, na wanaofanyiwa hivyo wengi ni wake za watu, vijana wanakula bila kuacha
Hao jamaa wa mambo ya urembo hawana tofauti na ma trainer hawa majamaa wa issue za gym ...
Ndio maana mimi binafsi ikija katika suala la ndoa hua naona ndoa ni kama kamari..

Kama huyo niliyemsemea kwa mazingira yale ni ngumu sana mwanamke kutoka salama, hata kama jamaa asipotaka mzigo lakini kuna possibility kubwa mwanamke akabaki na matamanio nae n hivi jamaa wanajikutaga wanajua sana ku care.
 
IMG-20201104-WA0004.jpg
 
Mimi wafia chama wote siwapendi
Iwe wa upinzani au wa chama tawala.

Kuna watu huwa wanasapoti kila kitu hadi mtu kupigwa risasi wanafurahia.
Kuna watu wao ni kupinga kila kitu,wao wanabeza tu, wanasema tufanye maombi juu ya Corona wao wanatukana tu!
Mimi Ndiyo maana sitaki kuegemea kwenye chama kimoja maana kila chama kina mazuri na mabaya yake.

Hili la uchaguzi kwa imani yangu Mimi,Ubunge yawezekana kweli wamepigwa bao la mkono lakini urais hata uchaguzi ungekuwa wa haki bado wasingetoboa.
Tatizo ni pale watu wanataka uwasapoti kwenye kila kitu
".....hata uchaguzi ungekuwa wa haki bado wasingetoboa."

alaaa kumbe ni kweli haukuwa wa haki
 
Back
Top Bottom