Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Breakfast/Lunch/Dinner ....zero appetite 🥴🥴
20201103_154746.jpg
 
eti barabara imening'inia mlimani
Hiyo barabara ni noma sijapata kuona,Dereva asipokuwa makini mnadumbukia huko chini,we jaribu siku moja upite,si unapenda safari
Bora hata ile ya kwenu boda kasumulu..

Hiyo ya KK..yaani kutoka KK hadi undali ni pafupi sana ila njia Sasa ndo hiyo hapo..mnazunguka hapohapo tu masaa yote.
 
Si ndio hapo sasa! Kama wanajiamini kuwa Lissu asingeshinda kwanini wameiba kura si wangeacha ili kuonyesha kuwa wanajiamini!
Chadema wakishinda uchaguzi ni wa haki,
Wasiposhinda uchaguzi umevamiwa!

Tena kama nafasi ya Urais Wala wasihangaike kulia,bora hata Ubunge na udiwani.

Mimi nilikuwa kijijini huko na nimewasaidia baadhi ya wazee kupiga kura..wanauliza kwani mgombea mwingine ni yupi??wanamjua magufuli tu!
Unaanza kumuelekeza mzee, unamwambia habari za risasi za Lisu ndiyo kwanza anazisikia kwako.
Akifika
pale anataka umuonyeshe ilipo CCM.
 
Back
Top Bottom