Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,663
- 50,966
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.Kule jukwaa la siasa huwaga unatetea chama gani vile![]()
I'm not talking about sex though 😐![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona tuna jituma sana 6*6 mikunjo yote, style zote, utundu mwingi mpaka mwili unachemka mkitoka hapo mpo hoi hata kutembea mnashindwa,
unapiga deki safii kabisa, masaji safiii kabisa na goli 3 za ushindi hoi, tatizo hamliziki banah lizy inatokea siku nimesafiri tu, ule utamu sasa unauwaza, unakutana na kijana wa kuosha kucha anaanza tu kupapasa mguu na kushika vidole tu masikio yamesimama juu,mapigo ya moyo yanabadilika..
Nilipokuwa mtoto hawa na senene siku wakianguka hata shuleni nilikuwa siendiMkuu umenikumbusha mbali..View attachment 1618889



Hiyo yote ni sehemu ya kufanya mahusiano yachipue sex, vitu hivyo vidogovidogo sijui masaji na vingine vingiiii , hivyo vyote tunafanya lakini mnakuja kuanguka kwenye mahaba makali na vijana wanaowaosha miguu, kucha nkI'm not talking about sex though![]()
Umehamia kwenye wadudu sasaKaribuni wapendwa. Protini pyua hii. Makiseo na Espy hii siyo menyu ya kukosa
View attachment 1618879



Hiyo yote ni sehemu ya kufanya mahusiano yachipue sex, vitu hivyo vidogovidogo sijui masaji na vingine vingiiii , hivyo vyote tunafanya lakini mnakuja kuanguka kwenye mahaba makali na vijana wanaowaosha miguu, kucha nkI'm not talking about sex though![]()
Hata sasa wakianguka huwa akili yako haikai sawa.Nilipokuwa mtoto hawa na senene siku wakianguka hata shuleni siendi![]()
Enzi hizo tulikuwa tunaamka usiku kukamata kumbikumbiMkuu umenikumbusha mbali..View attachment 1618889

Mmhh mi niseme ukweli sijawahi kupishana na comment yako yoyote ukiwa unasupport chama chochote cha upinzani siyo za kipindi hiki wala huko nyuma! Huwa unawaponda sana upinzani na kuwasifia CCM na huwa unalike comments za wanaoitetea CCM!Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.
Huwa natoa mtazamo wangu bila kujali wapinzani au chama tawala watanichukuliaje.
Na hiyo michango uliyoisoma ni ya miezi hii miwili,pita Soma na michango yangu ya mwezi march na April uzi wa likes.
Pita pia kwenye michango yangu ya mwaka 2018 jukwaa la siasa.
Oohh VizuriHii ndiyo yenyewe sasa, naipenda sana tu
,
Sehemu nyingine napita na kulike kwa sababu unakuta kile nilichokuwa nawaza ndicho kilichoandikwa.Mmhh mi niseme ukweli sijawahi kupishana na comment yako yoyote ukiwa unasupport chama chochote cha upinzani siyo za kipindi hiki wala huko nyuma! Huwa unawaponda sana upinzani na kuwasifia CCM na huwa unalike comments za wanaoitetea CCM!
Anyway siyo mbaya ukisema kama wewe ni mwanachama wa CCM! Una haki na uhuru wa kuwa kwenye chama chochote mwaya ila ifike kipindi lazima tuseme ukweli CCM walikofikia siko na wanakoelekea ndiyo kubaya kabisa lakini cha ajabu watu wanatetea tu kila kitu!
Oohh basi ni vyema kama unatoa mawazo bila kuangalia chama! Maana kuna watu wanatetea tu kila kitu ili mradi kimefanywa na ccm duuh!Sehemu nyingine napita na kulike kwa sababu unakuta kile nilichokuwa nawaza ndicho kilichoandikwa.
Basi una bahati mbaya tu,hujawahi niona nikiinanga serikali, si rahisi kuona kila kitu nilichoandika
Hujawahi kuniona nachambana na vikundi vya kusifu na kuabudu kila kitu..siku ukibahatika kuona itakuwa vema.
Kutoa mawazo kuhusu upinzani si dhambi,na Mimi mtazamo wangu ni huo
Na si dhambi kuwa mwanachama wa CCM, chadema Wala ACT..
Mimi sina mpango wa kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa.
Nitaendelea tu kutoa mawazo yangu.
Hilo jiwe lingemkosa huyo nduli kipigo ambacho angekipata huyo dogo asingekaa akisahau maishani mwake


